MwanaFA Ft Ali Kiba 'Kiboko Yangu'

Hit maker wa single ya Kiboko Changu aliyomshirikisha Ali Kiba,Hamisi Mwinjuma ama Mwana FA yuko anafanya video ya single yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Kiboko Yangu’ nifanikiwa kuapata picha takribani tano wakioneka wakiwa location wakishoot video hiyo ambayo itatoka hivi karibuni na utaanza kuiona kwenye TV station mbalimbali

MwanaFA Ft Ali Kiba 'Kiboko Yangu'

.
MwanaFA Ft Ali Kiba 'Kiboko Yangu'

.
MwanaFA Ft Ali Kiba 'Kiboko Yangu'

.
MwanaFA Ft Ali Kiba 'Kiboko Yangu'


MwanaFA Ft Ali Kiba 'Kiboko Yangu'