Friday, January 16, 2015

Mwanamitindo Flaviana anayewakilisha vizuri Tanzania kwenye mashindo makubwa ya urembo, Novemba mwaka jana yaani 2014 alichumbiwa na mtanzania ambaye bado hatujamjua lakini pale mtakapopata taarifa zake nitakuwekea hapa,

             flaviana-matata

Kupitia kipindi cha XXl kinachorushwa na kituo cha utangazaji cha Clouds Fm alikuwa na haya ya kusema

“Kila kitu kitaendelea kama kilivyo sasa mpaka pale nitakapoona sasa imetosha nifanye mambo mengine, lakini haitabadilisha chochote, itabadilisha status tu ndo inakuwa mrs flani basi.” Alisema kupitia XXL ya Clouds Fm.

Flaviana matata anaingia kwenye list ya mstaa wasiopenda maisha yao ya mapenzi yajulikana sana kama ilivyo kwa Millard Ayo na Ay pia Mwana FA, mchumba wake ambaye ni mtanzania aishie Marekani kwa mujibu wake Flaviana Matata ni nyingine ya kauli yake kuhusu kwanini kuchagua mchumba mtanzania na sio mzungu 

“Utamaduni ni muhimu sana, Kiukweli simzui mtu kuolewa na utamaduni wowote lakini mimi najua nachokihitaji katika maisha yangu, najua hatufanani najua mwingine anataka mzungu mwingine muhindi, lakini mimi cha kwanza kabisa utamaduni ni muhimu sana.”

Posted on 1:13 AM by Unknown

No comments



Staa Chris Brown ameachia picha ya style yake mpya ya nywele ambayo ni dredi,,wakati swala lake la mahusiano likienda vizuri na Karuache.

Posted on 12:55 AM by Unknown

No comments

huddah monroe


Socialite Huddah Monroe kutoka Kenya baada ya ya kupata skendo kuwa ndie msichana malaya mwenye gharama zaidi zikiwa ni story zilizoletwa na Tajiri kutoka Uganda maarufu kama King Lawrence, Kuna story kutoka kwenye akaunt yake ya instagrama baada ya kuvuja kuwa umekwenda kupunguza matiti yake ili aonekana kama mtoto na kwenye comment hiyo ilikuwa inasomeka hivi  

nadine_bottom: Love the new friends you have there @huddahthebosschick

mitchellemoon: Two new friends from Thailand !! What are their names??

paletralina: You got your boobs done I can tell and you look amazing #huddahthebosschick


Picha zingine hizi hapa chini 


huddah monroe 



huddah monroe

Posted on 12:49 AM by Unknown

No comments

Thursday, January 15, 2015


Micah ni msanii wa R&B mwenye umri wa miaka 20 akiwa na sauti nzuri kama za kina Ben Pol na wengine kingine cha ajabu kwa huyu mwanamziki ana matako kama yale ya Kim Kardishian, Nicki Minaj akiwa ni mwanaume ebu cheki picha zake hapa chini



 








 



 


 


 


 


Posted on 11:27 PM by Unknown

No comments

https://www.youtube.com/watch?v=mAcuWgX_X10

Posted on 2:41 PM by Unknown

No comments

Posted on 2:00 PM by Unknown

No comments

https://mkito.com/song/good-time-ft-ommy-dimpoz/11651/bwi-1-24612

Posted on 1:47 PM by Unknown

No comments

https://mkito.com/song/vuvula/11422/bwi-1-23622

Posted on 1:36 PM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/t8082oo6eo74/Diamond_Platnumz_-__Nasema_Nawee.mp3?d=1

Posted on 1:17 PM by Unknown

No comments

Wimbo mpya kutoka Super star wa Reggae, Ragga na Dancehall kutoka nchini Kenya - Nazizi. Wimbo unaitwa OVER YOU na umeandaliwa na Producer SAPPY. Wimbo huu umetoka kwenye E.P. ya Nazizi iitwayo EVO LLUSION ambayo imetoka chini ya label ya Lovechild records.
https://mkito.com/song/over-you/11282/bwi-1-23212

Posted on 1:11 PM by Unknown

No comments