Wednesday, December 17, 2014

...

Posted on 4:13 AM by Unknown

No comments

...

Posted on 4:08 AM by Unknown

No comments

...

Posted on 4:00 AM by Unknown

No comments

Tuesday, December 16, 2014

Mchezaji Cristiano Ronaldo mwenye umri wa miaka 29 sasa ameshinda tuzo nyingine zinazotolewa na shirika kubwa la utangazaji la BBC ambapo amempiku mpinzani Lionel Messi ambaye hajawahi kushinda hata mara moja.Tuzo hiyo ambayo amepata inajulikana kama BBC Overseas Sports Personality of the Year, mchezaji huyo amekuwa wa nne kushinda tuzo...

Posted on 9:58 AM by Unknown

No comments

Show ya Tujuane Plus ambayo iliwakutanisha model  wawili Judy Anyango kutoka Kenya na Calisa kutoka hapa Tanzania, unaambiwa Calisa alipata kigugumizi baada ya kuona shepu ya Judy kwa jinsi alivyo kuwa na mpododo Show hiyo inayoonyeshwa na channel ya Maisha Magic video inaonyesha jinsi Calisa akicheza na Judy...

Posted on 9:52 AM by Unknown

No comments

Miaka ya 2010 kama ulikuwa unamfuatilia msanii Mwana Fa utakuwa ulikuwa unajua alikuwa akisoma nchi za nje ambapo alikwenda kuchukua elimu ya juu huko, leo katika pita pita zangu kwenye page za habari miaka hiyo nikakutana na picha ya gari alilowahi kumiliki msanii huyo ambalo kwa mahesabu ya haraka haraka ni million 90, kuna watu wanapesa lakin...

Posted on 9:35 AM by Unknown

No comments

Like Shakira mwenye umri wa miaka 39 amevunja rekodi ya dunia kwa kuwa na hips kubwa ambaye jina la Mikel Ruffinelli, ukubwa wa hipsy lake ni sawa na shimo la taka la nyumbani maarufu kama jalala lenye upana wa zaidi ya futi nane na urefu wa futi tano kwa wewe unaweza kuona ni ajabu lakini yeye ana haya haya ya kusema  "I love...

Posted on 9:31 AM by Unknown

No comments

Samaki wa ajabu ameonekana huko nigeria katika ufukwe wa Eleko ambapo ufukwe huo uko katika mji wa lagos,  samaki huyo wa ajabu alionekana kando kando wa ufukwe huo huku ukionekana wa kuwastaajabisha wengi kutokana na ukubwa wa samaki huyo,hizi hapa chini ni picha za samaki huyo  Umati Ukistaajabu huyo samaki..Washikaji wakimgawana...

Posted on 9:03 AM by Unknown

No comments

...

Posted on 8:18 AM by Unknown

No comments