Samaki wa ajabu ameonekana huko nigeria katika ufukwe wa Eleko ambapo ufukwe huo uko katika mji wa lagos, samaki huyo wa ajabu alionekana kando kando wa ufukwe huo huku ukionekana wa kuwastaajabisha wengi kutokana na ukubwa wa samaki huyo,hizi hapa chini ni picha za samaki huyo
0 comments:
Post a Comment