Saturday, January 10, 2015

http://old.hulkshare.com/dl/m370uwpkvpc0/Mike%20tee%20-%20i%20missed%20you%20|%20djmwanga?d=1

Posted on 3:42 PM by Unknown

No comments

diva loveness
Mtangazaji Diva Loveness love kutoka Clouds Media Group ametoa yake ya moyoni baada ya shabiki wake kumpiga dongo kuwa anavaa nguo zinazoonyesha mapaja yake kwenye Instagram.Siku ya jana aliachia post ambayo alisema itakaa kwa mda wa nusu saa tu kisha ataitoa na katika kubwa alilosema ni kuwa yeye anauwezo wa kuvaa kaptula mbele ya watoto wake na bado wakawa na heshima kama kawaida ushahidi huu hapa chini.


diva loveness
diva loveness

Posted on 2:57 PM by Unknown

No comments

            

Staa kutoka Marekani anayejulikana kama Laura Govan mcheza filamu, amefanya kitendo cha aibu kwenye red carpter baada ya nguo yake alikumuibisha na kumfanya sehemu za kifua hasa kwenye matiti yake kubaki wazi na kuonyesha chuchu zake.


Mara nyingi hizi fashion zimekuwa ziwafanyia kitu mbaya sana hawa wadada wengine imefikia hatua mpaka wanavuliwa nguo kabisa lakin hawasikii kabisa

                matiti

Kama ukitaka kuangalia picha hizi lazima uwe na miaka zaidi ya kumi nane

PHOTO 1PHOTO 2PHOTO 3PHOTO 4POHOTO 5 

Posted on 2:19 PM by Unknown

No comments


  miss big booty corozan kwamboka

Miss Big Booty, Video Vixen, Socialite Corazon Kwamboka kutoka kenya, akiwa ndie mrembo kutoka kenya mwenye makalio makubwa zaidi ameingia tena kwenye headline baada ya kuachia video akionyesha maujuzi ya kukata kiuno kama ilivyo kawaida inavyjulikana kutwerk

Kutoka kwenye Instagram yake nakuletea video zake mbili akionyesha ujuzi wake wa kutikisa makalio yake tizama hapo chini 

Nyingine iko hapa chini itzame hapa 


Posted on 1:06 PM by Unknown

No comments

Friday, January 9, 2015



Acheni pesa iitwe pesa kwakweli unaweza kuona kama ni habari za kutunga lakin zipo na zinatokea kila siku, Kufuru walioifanya jamaa waNigeria kwa kumzika ndugu yao ndani ya Gari aina ya Hammer na kutupa na pesa juu badala ya kumzika kwenye Jeneza kama ilivyokawaida , familia hii ya kitajiri imefanya kufuru ya aina yake na haijawahi kutokea Nigeria yote toka imepata Uhuru hii ikiwa ni ripoti ya waandishi wa habari kutoka Nigeria na wazee ambao walikuwa mashuda katika msiba huo

Posted on 9:00 AM by Unknown

No comments

 

Posted on 8:21 AM by Unknown

No comments

Posted on 8:18 AM by Unknown

No comments

Posted on 7:43 AM by Unknown

No comments

https://mkito.com/song/vigelegele/10991/bwi-1-22502

Posted on 7:14 AM by Unknown

No comments

https://mkito.com/song/everything-i-do/3018/bwi-1-22402

Posted on 7:08 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/3sy5shfli6dc/Chege_%26_Temba_Feat_DJ_Mapholisa_-_Kaunyaka.mp3?d=1

Posted on 7:05 AM by Unknown

No comments

http://goo.gl/buWUPc

Posted on 6:58 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/feezb4unzim8/Team_Selekta_Ft_Mesen_Selekta_-_Tamu.mp3?d=1

Posted on 6:48 AM by Unknown

No comments

Sunday, January 4, 2015

https://mkito.com/song/life-story/9861/bwi-1-21812

Posted on 3:23 PM by Unknown

No comments

https://www.youtube.com/watch?v=GIS6VMWGHp0&feature=youtu.be


Posted on 3:08 PM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/chqmcdm70q9s/Damian_Soul_Feat._Joh_Makini_-_Baraka%40DJMwanga.mp3?d=1

Posted on 2:11 PM by Unknown

No comments

https://mkito.com/song/wcd/9752/bwi-1-21052


LYRICS


Wave, Clap, Dance (WCD) 

Vanessa Mdee, Barnaba, Aika, Nahreel, AVID - WCD (Lyrics) 

(Intro) 
Ayoo Ayoo Ayoo Ayoo 

Verse 1 
(Aika) 
Karibu mgeni, Kwaheri mwenyeji 
Tulipanga mengi sana aah 
Tulikula dagaa 
Tulipika kwa mkaa 
Na maisha yalisonga 

(Barnaba) 
Niliweka visenti kwenye vibubu 
Ukunipa vurugu 
Nilitumia vibatari sikutumiaga luku 
Asante sana rafiki, Mungu akubariki. 
Kwa kunilinda na dhiki. 
Haaa! 

Chorus 
(Vanessa Mdee & AVID) 
So wave and Clap and Dance together 
So wave and Clap and Dance together 

Verse 2 
(Nahreel) 
Tulikula maindi, leo nipe chips 
Sitaki kikubwa kidogo nifaidi. 
(Yelele yelele yelele yelele) 
Ulinipa dhiki, ukinifariji 
Mwakani utanipa kikubwa zaidi ya hiki. 

(AVID) 
Hanhaa.. 
Dunia tambara, nimebeba mazuri na Machafu mengi 
Hanhaa 
Hukuona hasara kuchukua wazuri wangu wengiiii.. 
Hiiiiiiiii... 

Chorus 
(Vanessa Mdee & AVID) 
Now wave and Clap and Dance together 
Now wave and Clap and Dance together 

Verse 3 
(Vanessa Mdee) 
Ulinifundisha mazuri, nisiwe jeuri nipambane 
Ulinipaga na mwamvuli 
Kwenye mvua nyingi 
Nisiloane 
Mwamvuli eeeh 

Chorus 
(Vanessa Mdee & AVID) 
So wave and Clap and Dance together 
So wave and Clap and Dance together 

(Outro) 
Ayoo Ayoo Ayoo Ayoo X2 

Produced by Nahreel 

Posted on 2:04 PM by Unknown

No comments