Friday, March 6, 2015



Staa wa miondoko wa RnB Steve RnB ameachia video yake mpya ya nyimbo yake mpya inayojulikana kwa jina la Pole Pole akiwa imefanywa na Producer C9.

Posted on 6:43 AM by Unknown

No comments

Today, Facebook gave Page owners a heads up about an upcoming change that’s going to cause a drop in Page likes.





The company is going to change the way likes are counted in order to deliver more accurate data. So don’t worry, your audience hasn’t suddenly abandoned you, chances are the likes you’re about to lose hold little value anyway. The reason for that is because Facebook will no longer be counting Page likes from deactivated and memorialized accounts.

As a result of this change, like counts will always be consistent and up-to-date. If a deactivated account is re-activated, the like count will be adjusted accordingly.

Facebook’s reasoning behind this is two-fold — improved business results and greater consistency. “Everyone benefits from meaningful information on Facebook. It’s our hope that this update makes Pages even more valuable for businesses.”

This can ultimately be looked at as a good thing because it means no more inflated numbers. I suspect the Pages that will get hit the most are those who pay for likes, or try to artificially enhance their numbers in some other way. Whereas Pages that have grown their audience organically probably won’t notice as much of a drop.

An exact date for when this change will be rolled out was not mentioned, but we will surely bring it to your notice, just keep checking on us.

Posted on 6:37 AM by Unknown

No comments

Whatssap yanendelea kutoka sasa ni zamu ya bint kuomba aolewe na mwanaume baada ya kuona maisha ya chuo ni magumu sana.


Video ya Mwanafunzi wa Chuo Akijiuza Mtandaoni. 

Mwanafunzi huyo ambae anasoma moja ya chuo maarufu sana hapa jijini amejirokodi na kuachia Video hiyo huku akidai kwamba hataka kusoma na yuko tayari kuachia penzi bila ya kodi kwa mwanaume aliyoko tayari kumuoa 


                          

Posted on 6:29 AM by Unknown

No comments

Wiz Khalifa imply Amber Rose' butt is fakeWiz Khalifa imply Amber Rose' butt is fake


Wiz Khalifa imply Amber Rose' butt is fake
Wiz Khalifa imply Amber Rose' butt is fake


Baada ya fan mkubwa wa Rapper Wiz Khalifa anahitaji mwanamke mwenye Vigezo gani lakin cha ajabu Wiz amesema mwanamke mwenye shepu orijino sio ya kufanyiwa Upasuaji yaani  'natural ass please' kwa kauli hii je Wiz ametupa Dongo kwa Amber Rose au naona Vibaya?

Posted on 6:24 AM by Unknown

No comments


Posted on 5:56 AM by Unknown

No comments

 

Posted on 5:52 AM by Unknown

No comments


Posted on 5:48 AM by Unknown

No comments

Thursday, March 5, 2015




Hiyo ni Picha ya Msichana ambayo siku ya jana imesambaa sana mitandaoni...
Inasemekana alipita maeneo ya Sinza akiwa amevaa kinguo kifupi ambacho kilivuta hisia za wanaume  wakware na kuanza kumzonga zonga wakitaka kumvua kabisa kimini hicho huku wengine wakimchoma vidole sehemu zake za siri.

Kwa bahati nzuri alitokea  boda boda na kuamua kumsaidia kwa kumpakia na kutimua mbio.

 

Posted on 2:52 PM by Unknown

No comments

drake 6Rapper maarufu kwenye headlines za dunia, Drake aliotewa kwenye hizi picha na Mapaparazzi huko Australia akiwa na mrembo ambae inaaminika ndio girlfriend wake mpya.
Mrembo anaitwa Bernice Burgos mwenye umri wa miaka 34 ambae ana asili ya Puerto Rico na ni model/video queen aliyetokea kwenye video kadhaa kama Work Out ya J. Cole na ‘Diced Pineapples’ ya Rick Ross, Wale na Drake kwa mujibu wa Necole Bitchie.
Drake 1Drake mwenye umri wa miaka 28 aliwahi kukiri zaidi ya miaka minne iliyopita kwamba kwa wakati huo hajawahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo ambae wanalingana umri, siku zote warembo wake huwa wanakuwa wamempita kiumri.
drake 2
drake 3
drake 4
drake 5Unaweza kutazama video alizotokea huyu mrembo bonyeza  Hapa..

Posted on 2:23 PM by Unknown

No comments


Mmiliki wa kampuni ya kutengeneza kompyuta ya Microsoft, Bill Gates.

Bwanyenye mmiliki wa kampuni ya kutengeneza kompyuta ya Microsoft , Bill Gates, ndiye tajiri nambamoja duniani kwa mwaka wa pili mfululizo.
Kwa mujibu wa takwimu za jarida la Forbes ambalo huchapiShwa mara moja kila mwaka, Bill Gates ameorodheshwa kumiliki zaidi ya dola bilioni 79.2.

Mfanyibiashara kutoka Mexico, Carlos Slim Helu.

Mfanyibiashara kutoka Mexico Carlos Slim Helu ameorodheshwa tajiri nambari mbili duniani akiwa na zaidi ya dola bilioni 77.1. Kulingana na jarida hilo, Gates alipata faida kubwa ya dola bilioni $3bn mwaka uliopita.

Warren Buffett.

Hadi kufikia sasa kuna matajiri 1,826 wenye utajiri unaozidi dola bilioni moja kote duniani hii ikiwa ni ongezeko la mabilionea 181 katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Gates ameorodheshwa nambari moja duniani katika miaka 16 kati ya 21 zilizopita.
Bwanyenye mwingine kutoka Marekani, Warren Buffet, anaorodheshwa katika nafasi ya tatu akiwa na dola bilioni $72.7

Amancio Ortega.

Mwanzilishi wa mitindo ya nguo ya Zara, Amancio Ortega, kutoka Uhispania anashika nafasi ya nne duniani.

Larry Ellison.


Mfanya biashara namba 1 Afrika, Aliko Dangote.

Orodha ya Forbes ya 2015 ya matajiri zaidi duniani.
1. Bill Gates $79.2bn (Microsoft)
2. Carlos Slim Helu $77.1bn (Mfanyabiashara Mexico)
3. Warren Buffett $72.7bn (Mfanyabiashara)
4. Amancio Ortega $64.5bn (Mwanzilishi wa maduka ya nguo ya Zara )
5. Larry Ellison $54.3bn (Kampuni ya teknolojia ya Oracle)
6. Charles Koch $42.9bn (Mfanyabiashara)
7. David Koch $42.9bn (Mfanyabiashara)
8. Christy Walton $41.7bn (Mmiliki wa maduka ya Walmart)
9. Jim Walton $40.6bn (Mmiliki wa maduka ya Walmart)
10. Liliane Bettencourt $40.1bn (Muuzaji wa vipodozi L'Oreal )

Hii ni orodha ya matajiri wanaoongoza Afrika na thamani ya mali walizonazo:
1. Aliko Dangote (Nigeria) $14,700,000,000
2. Johann Rupert (Afrika Kusini) $7,400,000,000
3. Nicky Oppenheimer (Afrika Kusini) $6,700,000,000
4. Nassef Sawiris (Misri) $6,300,000,000
5. Christoffel Wiese (Afrika Kusini) $6,300,000,000
6. Mike Adenuga (Nigeria) $4,000,000,000
7. Mohammed Mansour (Misri) $4,000,000,000
8. Nathan Kirsch (Swaziland) $3,800,000,000
9. Issad Rebrab (Algeria) $3,400,000,000
10. Isabel dos Santos (Angola) $3,300,000,000


Watanzania walioingia kwenye orodha ya mabilionea ni Mohammed Dewji na Rostam Aziz.

Posted on 2:16 PM by Unknown

No comments


R35A5174
Audio ya single mpya ya mwanadada Snura, amemshirikisha Ney Wa Mitego.
Wimbo unaitwa ‘HAWASHI’, bonyeza play uisikie na kusoma lyrics za wimbo huo.
 kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa

Posted on 2:10 PM by Unknown

No comments


Posted on 1:53 PM by Unknown

No comments

Posted on 1:46 PM by Unknown

No comments


Posted on 1:39 PM by Unknown

No comments


 

Posted on 1:24 PM by Unknown

No comments