Friday, December 12, 2014

...

Posted on 8:49 AM by Unknown

No comments

...

Posted on 8:25 AM by Unknown

No comments

...

Posted on 8:14 AM by Unknown

No comments

Ni kawaida kwa mastaa wakubwa ambao wanacheza soka la kulipwa barani ulaya kuwa na majumba ya kifahari yenye gharama kubwa sana sasa hii ni list ya mastaa wanaongoza kuwa na majumba ya kifahari kwa upande wa wanamichoze wa mpira wa miguu  1. David Beckham ambaye anamiliki mjengo wenye thamani ya dola $20        ...

Posted on 8:02 AM by Unknown

No comments

Kampuni ya magari ya Lamborghini imekuja na Teknolojia mpya za simu za smartphone na zinajulikana kwa jina la Lamborghini la 88 Tauri ambayo itakuwa ikiizwa kwa dola 6000$ sawa na Million 9.6 za Kitanzania  Hizi ni baadhi ya vitu vilivyomo huko ndani ya simu hiyo  Display5.00-inchProcessor2.3GHzFront Camera 8-megapixelResolution...

Posted on 7:56 AM by Unknown

No comments

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 32 ambaye ni mzaliwa kutoka South Africanameingia kwenye list ya Mamillionare wanaishi South baada ya biashara yake ya kuwfanyia Massage kwa Kutumia Matiti yake ambapo kila wiki anawezo wa kuinginza zaidi ya  Mamillion,Na watu wameonekana kuikubali sana biashara yake na kufikia hatua ya kuja karibu kila...

Posted on 7:48 AM by Unknown

No comments

Hit maker wa single ya Kiboko Changu aliyomshirikisha Ali Kiba,Hamisi Mwinjuma ama Mwana FA yuko anafanya video ya single yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Kiboko Yangu’ nifanikiwa kuapata picha takribani tano wakioneka wakiwa location wakishoot video hiyo ambayo itatoka hivi karibuni na utaanza kuiona kwenye TV station mbalimbali...

Posted on 7:40 AM by Unknown

No comments

Tajiri anayeshika nafasi ya pili hapa Tanzania Mh Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn)Tukio hilo lilitokea katika siku ya birthday ya Jack ambayo ilifanyika huko Dubai hapo ndi Mh Mengi alipoamua kumvisha pete mchumba wake huyo ambaye mpaka sasa wana watoto wa wawili...

Posted on 7:11 AM by Unknown

No comments

Mrembo Nancy Sumari amekua na safari za mahala tofauti ,na katika miji mikubwa duniani.Familia inayoundwa na watu watatu,mume ,mtoto (3) Zuri, na Nancy Sumari mwenyewe.safari hii walitumia muda wao kutembelea mji maarufu nchini Ufaransa,Paris.shusha chini tazama jinsi furaha ilivyojengwa zaidi na wapendanao hawa! ...

Posted on 6:49 AM by Unknown

No comments

  List ya wasanii ambayo wanaendelea kuwatambulisha wapenzi wao inaendelea kuwa kubwa kila kukicha sasa ni zamu ya Hemed PHD ambaye kirefu cha jina lake ni Hemedy Prety Huge Dude kupitia akunti yake ya Insta Amentambulisha Mpenzi wake ambapo alifuatia na meseji ya kimahaba ambayo ni maluumu kwa mrembo huyo  ...

Posted on 6:29 AM by Unknown

No comments

Ana umri wa miaka 27 na jina lake halisi ni Alexandra Harra kutoka Roma amabye amejizolea umaarufu kutoka na shepu yake kama ya Kim Kardishian ambaye kwa mujibu wa jarida moja nchini roma ana tako lenye ukubwa wa 109 zikiwa ni sentimeta (42ins) wakati la Kim Kardashian lina ukubwa wa sentimeta 101 (39ins) Licha ya mrembo...

Posted on 6:09 AM by Unknown

No comments

   Nadhani utakuwa unamjua yule Ex girlfriend wa msanii Davido kutoka Nigeria anayejulikana kwa jina la Nish Kards ambaye yeye ni mwenyeji kutoka Ghana  ambaye jina lake la utani naitwa Kim K wa Ghana nazidi kuwachanganya wanaume na picha zake huko insta hizi ni Sexy Photos zake ambazo hujawahi kuziona...

Posted on 5:22 AM by Unknown

No comments