Hata hivyo baiskeli mpya iliyotengezwa kwa dhahabu imezinduliwa nchini unigereza ambapo bei yake ni pauni za uingereza shilingi Bei 250,000 sawa na milioni 676.5 za Tanzania.Cha ajabu ni kwamba bei hii imezidi hata ile ya gari aina ya Ferari,Baiskeli hiyo imetengenezwa na kampuni ambayo hutengeza vitu vya kifahari, Goldgenie na imetengezwa kwa dhahabu.Kiwango cha dhahabu iliyotumiwa ni karati 24. Wataalamu wa kampuni hiyo ya Goldgenie, wameweka dhahabu katika vyuma vya baiskeli hiyo vyote ikiwemo mnyororo na mfumo unaofanya baiskeli kwenda na kubadilisha gia vyote vimewekwa dhahabu.Mkurugenzi wa kampuni iliyotengeza baiskeli hii anasema inaweza kuendeshwa katika barabara kama baiskeli nyinginezo.





Credit BBC