Kampuni ya magari ya Lamborghini imekuja na Teknolojia mpya za simu za smartphone na zinajulikana kwa jina la Lamborghini la 88 Tauri ambayo itakuwa ikiizwa kwa dola 6000$ sawa na Million 9.6 za Kitanzania
Hizi ni baadhi ya vitu vilivyomo huko ndani ya simu hiyo
Processor2.3GHz
Front Camera 8-megapixel
Resolution 1080x1920 pixels
RAM 3GB
OS Android
Storage
Rear Camera20-megapixel
Battery capacity 3400mAh
0 comments:
Post a Comment