Ni kawaida kwa mastaa wakubwa ambao wanacheza soka la kulipwa barani ulaya kuwa na majumba ya kifahari yenye gharama kubwa sana sasa hii ni list ya mastaa wanaongoza kuwa na majumba ya kifahari kwa upande wa wanamichoze wa mpira wa miguu
1. David Beckham ambaye anamiliki mjengo wenye thamani ya dola $20 million 2. Wayne Rooney yeye nyumba yake ina thamani ya dola za kimarekani $17.83 million 3. Didier Drogba yeye anamiliki nyumba yenye thamani ya dola za kimarekani $9 million 4. John Terry mchezaji wa chelsea anayemiliki nyumba yenye thamani ya dola za kimarekani $7.5 million 5. Frank Lampard yeye anamiliki mjengo wenye thamani ya dola za kimarekani $7 million
0 comments:
Post a Comment