Tell Everybody features artists like Mafikizolo (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Diamond (Tanzania), Sauti Sol (Kenya), Toofan (Togo), Becca and Sarkodie (Ghana).Enjoy!!...
Hit Maker wa Single ya Nivumilie Baracka Endrew ama Baracka De Prince’ amefunguka kuwa kufuatia skendo iliyokuwa inamkabili ya kutoka kimahaba na Video Queen maarufu Afrika, Agness Gerald almaarufu kama Masogange ameamua kujiweka naye kando mdogomdogo ili kuepusha maneno kutoka kwa wambeya.
Akichonga na Ijumaa juzikati,...