diva loveness
Mtangazaji Diva Loveness love kutoka Clouds Media Group ametoa yake ya moyoni baada ya shabiki wake kumpiga dongo kuwa anavaa nguo zinazoonyesha mapaja yake kwenye Instagram.Siku ya jana aliachia post ambayo alisema itakaa kwa mda wa nusu saa tu kisha ataitoa na katika kubwa alilosema ni kuwa yeye anauwezo wa kuvaa kaptula mbele ya watoto wake na bado wakawa na heshima kama kawaida ushahidi huu hapa chini.


diva loveness
diva loveness