Friday, November 28, 2014

Vanessa Chettle



Anajulikana kwa jina la Bikini model ambaye ni mrembo kutoka kenya  jina lake halisi ni 
Vanessa Chettle ameachia baadhia ya picha zake kali na safi nimekuletea uzione

Kama utakuwa humujui vizuri ni yule bingwa wa kupost picha za utupu kwenye mitandao 
ya kijamii kama Instagram na hata Facebook 

Vanessa Chettle

Posted on 7:32 AM by Unknown

No comments

Acheni Mombosa iitwe jiji la maraha najua huwezi kuamini lakin ukiwa na  Sh100,000 yakikenya sawa na Million 2 ya kitanzania unaweza kuenjoy kupaki meli ya kisasa kabisa inayomilikiwa na kampuni ya  Marhaba Travels ambapo ndani ya kiasi hicho unaingia wew pamoja na watoto wako wawili chini hapa ni baadhi ya picha za meli hiyo 




























Posted on 6:35 AM by Unknown

No comments

jaguarp-700x466


Msanii kutoka Kenya anayejulikana kwa jina la Jaguar ambaye kwa sasa inasemakana anakuja hapa kwetu Tanzania kwa ajili ya mipango ya harusi yake japo haijathibitika kama ni kweli lakin pia kwa sasa anatamba na kibao chake kipya kinachojulikana kwa jina la  “One Centimeter” ambacho amefanya na msanii kutoka nigeria anayejulikana kama Iyanya,msanii huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye list ya wasanii ambao wanalipwa bei mbaya kwa show moja nchini Kenya,wiki iliyopita katika jiji la Nairobi ameonekana na gari jipya aina Range Rover 2014 ambalo ni jipya kabisa japo kule gari hilo kwa sasa Kenya ni la kawaida kabisa hizi ni picha za gari lake 


jaguar-car1 



jaguar-car2

Posted on 6:24 AM by Unknown

No comments


Ommy Dimpoz - Tupogo Remix

Posted on 6:19 AM by Unknown

No comments




Tajiri ambaye pia ni mwanasiasa kutoka Kenya ambaye ni Senator katika jiji la Nairobi Mike Sonko ambaye ni maaruf sana kwenye mitandao ya kinyamii na hata media mbali za kenya na hata nje ya Kenya sasa hivi karibuni ameingia tena headlines baada ya kuonyesha simu yake yenye thamani ya shiliki million moja ya kikenya sawa na shilingi Million 20 za kitanzania.Simu hiyo unaambiwa kwa kenya anayo yeye peke yake tu na ni mara sita ya simu mpya ya Iphone 6 plus zinazotolewa na kampuni ya Apple iliyo na matawi yake nchini kenya,simu hiyo imetengenezwa kwa material ya gold kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini

 


Simu hiyo inajulikana kwa jina la Vertu Signature S 2008 ambapo wengi waliwahi kununua simu hiyo wanapendelea rangi ya simu hiyo tu lakini sio kwamba ina vitu vingi na vizuri hapana unambiwa haina hata kamera

 






 


Posted on 6:10 AM by Unknown

No comments

Wizkid


Msanii Wizkid Ayo kutoka Nigeria ambapo kwa sasa yupo marekani kwa zaidi ya week ya pili akiaanda  album ya 2 nchini huko alionekana na Binti mrembo anayejulikana kwa jina la  Tania Omotayo ambapo kwa mujibu wa msanii huyo amekiri na kusema kuwa na mpenzi wake na nimekukusanyia picha zake tatu hizi hapa, 


wizkid girlfriend



wizkid girlfriend



wizkid girlfriend

Posted on 5:43 AM by Unknown

No comments

Msanii Diamond Platnumz leo amefanya interview na website ya bongo5.com na kutoa siri nyingi zilizokuwa chini ya kapeti mojawapo zikiwa swala la yeye kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Wema Sepetu  na kuwa ana uhusiano na mfanyabiashara mrembo wa Uganda, Zari the Bosslady pamoja na issue zingine. Itazame hapo chini au soma kwa kifupi baadhi ya kile alichokisema.

Posted on 5:31 AM by Unknown

No comments

 
Mwanamke mmoja nchini China ambaye ni mjamzito amehukumiwa kifungo cha maisha huku mume wake akihukumiwa adhabu ya kifo baada ya kushirikiana kumbaka na kisha kumuua msichana wa miaka17.

Mwanamke huyo ambaye anajulikana kwa jina la Tan Beibei alifanya kitendo hicho baada ya msichana huyo kumsaidia alipoanguka barabarani ambapo alimpeleka hadi nyumbani kwake na badala ya kumshukuru waliamua kumfanyia kitendo hicho akishirikiana na mumewe kisha kumuua na kuamua kumzika.
Mahakama ya Heillojiang ya nchini humo imesema kuwa imewafungulia mashtaka ya kuua,kubaka pamoja na kushambulia baada ya mwanamke huyo kujifanya ni mgonjwa na kushirikiana na mumewe kumfanyia binti huyo kitendo hicho cha kudhalilisha kisa wivu kwa madai alikua akitembea na mumewe.
Mahakama ya juu ilikataa kuwapunguzia adhabu wawili hao baada ya kukata rufaa kwa madai kesi hiyo ni kubwa na haina dhamana yoyote.
Kwa mujibu wa mashuhuda msichana huyo aliyejulikana kwa jina la Hu alikua akipita barabarani ndipo mama huyo alipomwomba msaada wa kumpeleka nyumbani kwake baada ya kuanguka na msichana huyo kutii lakini alipofika alikutana na maswaiba hayo.
Inaelezwa kuwa baada ya kufika mume wa mwanamke huyo alimpa msichana huyo maziwa ya mtindi na baadaye kuanza kumfanyia kitendo hicho akishirikiana na mkewe lakini hata hivyo hawakufanikiwa kwani binti huyo aliweza kuwazidi nguvu na walipoona imeshindikana walichukua blanketi na kumziba nalo usoni hadi alipofariki dunia na kuamua kumzika.

Katika utetezi wa mwanamke huyo mahakamani hapo alisema aliamua kufanya kitendo hicho kwa sababu binti huyo alikua akitembea na mume wake.
Historia inaonyesha wawili hao walishawahi kuwa na kesi mbalimbali kiwemo ya kutaka kumbaka rafiki wa mtoto wao wa kike ambaye alikua akisoma naye darasa moja.

Posted on 5:27 AM by Unknown

No comments


Victoria Kimani


Hit maker wa single ya Prokoto Victoria Kimanialimshirikisha Diamond na Ommy Dimpoz anayefanya kazi chini ya record label ya Chocolate City ya nchini kenya Kenya wiki moja iliyopita katika moja ya show zake nje ya nchini alifanya kitendo cha aibu jukwaani baada ya kuchezwa kwa Kutwerk kama ilivyozoeleka na kuwafanya watu kubaki midomo wazi..

Posted on 5:21 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/je71hglvcq2o/Tupogo_Rmx_by_Ommy_Dimpoz%40DJMwanga.com.mp3?d=1

Posted on 5:14 AM by Unknown

No comments


Posted on 5:10 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/t4bfp2cqg1z4/Yesu_na_wanawe%5BSugua_Gaga_Rmx%5D_-_KILI_VOICE%40DJMwanga.com.mp3?d=1

Posted on 5:04 AM by Unknown

No comments

Posted on 4:57 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/ey7p6tffllog/Coco_Baby_Ft._Diamond_Platnumz_-_Waje.mp3?d=1

Posted on 4:52 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/d78teecku3gg/KALA_JEREMIAH_ft.%20nurueli%20-%20usikate%20tamaa?d=1

Posted on 4:49 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/em7y41ccuolc/kevoo_hard_feat_lilian_-Emiwado_%28officail_track%29.mp3?d=1

Posted on 4:39 AM by Unknown

No comments

Wednesday, November 26, 2014

https://mkito.com/song/bishoo-ft-young-dee/4832/bwi-1-6702

Posted on 8:53 AM by Unknown

No comments

https://mkito.com/song/moyoni/4842/bwi-1-6722

Posted on 8:49 AM by Unknown

No comments

https://mkito.com/song/heri-ya-christmas/5122/bwi-1-6692

Posted on 8:47 AM by Unknown

No comments

Monday, November 24, 2014

http://old.hulkshare.com/dl/nxxnvdsvv3sw/Ay%20featuring%20sean%20kingston%20&%20ms%20triniti%20-touch%20me?d=1

Posted on 10:01 AM by Unknown

No comments

Artist Name:Six Chafu/Mtoa Lock/Quaver Mnama
Song Title: Makurang'aa
Producer:   DefXtro
Studio:     Noizmekah
Contact:   +255 652 904 022  
           +255 786 221 710
 http://old.hulkshare.com/dl/d2ijvqe4rmyo/LastWarning_-_Makurang%26%2339%3Baa.mp3?d=1

Posted on 9:57 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/kkkfz3aupbsw/Lady_Jaydee_ft_Dabo_-_Forever%40DJMwanga.com.mp3?d=1

Posted on 9:54 AM by Unknown

No comments