https://mkito.com/song/wcd/9752/bwi-1-21052


LYRICS


Wave, Clap, Dance (WCD) 

Vanessa Mdee, Barnaba, Aika, Nahreel, AVID - WCD (Lyrics) 

(Intro) 
Ayoo Ayoo Ayoo Ayoo 

Verse 1 
(Aika) 
Karibu mgeni, Kwaheri mwenyeji 
Tulipanga mengi sana aah 
Tulikula dagaa 
Tulipika kwa mkaa 
Na maisha yalisonga 

(Barnaba) 
Niliweka visenti kwenye vibubu 
Ukunipa vurugu 
Nilitumia vibatari sikutumiaga luku 
Asante sana rafiki, Mungu akubariki. 
Kwa kunilinda na dhiki. 
Haaa! 

Chorus 
(Vanessa Mdee & AVID) 
So wave and Clap and Dance together 
So wave and Clap and Dance together 

Verse 2 
(Nahreel) 
Tulikula maindi, leo nipe chips 
Sitaki kikubwa kidogo nifaidi. 
(Yelele yelele yelele yelele) 
Ulinipa dhiki, ukinifariji 
Mwakani utanipa kikubwa zaidi ya hiki. 

(AVID) 
Hanhaa.. 
Dunia tambara, nimebeba mazuri na Machafu mengi 
Hanhaa 
Hukuona hasara kuchukua wazuri wangu wengiiii.. 
Hiiiiiiiii... 

Chorus 
(Vanessa Mdee & AVID) 
Now wave and Clap and Dance together 
Now wave and Clap and Dance together 

Verse 3 
(Vanessa Mdee) 
Ulinifundisha mazuri, nisiwe jeuri nipambane 
Ulinipaga na mwamvuli 
Kwenye mvua nyingi 
Nisiloane 
Mwamvuli eeeh 

Chorus 
(Vanessa Mdee & AVID) 
So wave and Clap and Dance together 
So wave and Clap and Dance together 

(Outro) 
Ayoo Ayoo Ayoo Ayoo X2 

Produced by Nahreel