Ana umri wa miaka 27 na jina lake halisi ni Alexandra Harra kutoka Roma amabye amejizolea umaarufu kutoka na shepu yake kama ya Kim Kardishian ambaye kwa mujibu wa jarida moja nchini roma ana tako lenye ukubwa wa 109 zikiwa ni sentimeta (42ins) wakati la Kim Kardashian lina ukubwa wa sentimeta 101 (39ins)
Licha ya mrembo huyo kuwa na shepu nzuri lakin naye ni tajiri vile vile amiliki magari ya kifahari kama Mercedes S 550 2015 model ambayo ina thamani ya Euro £95,000 pamoja na Mercedes CLS 550 yenye thamani £63,000
0 comments:
Post a Comment