Mrembo Nancy Sumari amekua na safari za mahala tofauti ,na katika miji mikubwa duniani.Familia inayoundwa na watu watatu,mume ,mtoto (3) Zuri, na Nancy Sumari mwenyewe.safari hii walitumia muda wao kutembelea mji maarufu nchini Ufaransa,Paris.shusha chini tazama jinsi furaha ilivyojengwa zaidi na wapendanao hawa!