Friday, December 5, 2014

http://old.hulkshare.com/dl/aq3bsmyucf7k/Lava_Lava_Ft_Linex_-_Waoo.mp3?d=1

Posted on 7:03 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/vc07rltp1vcw/Cyju_Bwax_Ft_Mesen_Selekta_%26_Cyrill_Kamikaze_-_Zembele.mp3?d=1

Posted on 6:59 AM by Unknown

No comments

https://mkito.com/song/bila-mundai-prezzo/6521/bwi-1-9262

Posted on 6:56 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/qizd1cwrw64g/MR_NICE_-_WANAWEZA.mp3?d=1

Posted on 4:45 AM by Unknown

No comments

 
https://mkito.com/song/naarendu-ft-nakaaya/6431/bwi-1-8362

Posted on 4:38 AM by Unknown

No comments

https://mkito.com/song/number-1/6472/bwi-1-8592

Posted on 4:00 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/ujf5lbkexa80/Kim_Ft_Godzilla_-_Hell_Yeah.mp3?d=1

Posted on 3:56 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/mrfyc9b34em8/Kimbunga_Mchawi_%26_Biggie_Boss_-_MKE_MTARAJIWA.mp3?d=1

Posted on 3:47 AM by Unknown

No comments

Wednesday, December 3, 2014

Producer wa hits mbili za Diamond Platnumz ‘Number One’ na ‘Ntampata Wapi’ alionekana kufurahia mafanikio ya Diamond kwenye tuzo za Channel O, lakini kitu kimoja hakijakaa sawa moyoni mwake. 



Sheddy amesema ameshangazwa baada ya kutoona jina lake likiandikwa kwenye video ya ‘Ntampata Wapi’.

“Biashara kweli ni matangazo na nilitakiwa niandikwe kweli kwenye ile video, lakini sasa kwa sababu imeshapita na vitu vingi vimeshatokea na ukiangalia kwenye video international wanafanya hivyo ila mpaka sasa hivi najaribu kujiuliza sijapata jibu kamili kwanini wanafanya hivyo,” Sheddy ameiambia E-News ya EATV.

“Ukiangalia video za West Africa za akina Davido, Wizkid wengi producer wa audio wanakuwa hawaandikwi kwenye video. Sasa sijui wanafuta ule mfumo wa wenzetu, sifahamu.”

Posted on 9:54 AM by Unknown

No comments

mzungu.jpg

MBUNGE Jimbo la Kigoma Kaskazini Zitto Zuberi Kabwe amemtambulisha mchumba wake mpya anayetarajia kufunga nae pingu za maisha hivi karibuni. Mchumba huyo

Utambulishio huo wa mchumba wa Zitto ulifanywa na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila (NCCR-Mageuzi) wakati wa sherehe ya Harusi yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Annex.

hali ilikuwa hivi; baada ya Kafulila kutambulisha ndugu zake pamoja na wazazi wake ndipo alianza kutambulisha wageni wengine na kuanza na mchumba mtarajiwa wa Zitto Kabwe aliyemtaja kwa jina la Anna.

“Huyu wa kwanza anaitwa Anna anafanya kazi Ubalozi wa Ireland ni mchumba mtarajiwa wa Zitto Zuberi Kabwe, anayefuata kutoka kushoto kwa Anna wote mnamfahamu ndiyo Zitto mwenyewe na anayemfuata ni Mwalimu wangu wa chuo kikuu Kitila Mkumbo na mwisho ni mbunge mwenzangu David Silinde hao ndo walio nisindikiza,” alisema Kafulila. 
Chanzo Hapa 

Posted on 9:47 AM by Unknown

No comments


Posted on 8:07 AM by Unknown

No comments

   

Posted on 7:59 AM by Unknown

No comments



Msanii Diamond Platnumz baada ya kunyakua tuzo kubwa Afrika za channel O sasa swala la mapenzi yake na Billionare Zari linaendelea kuchukua picha mpya kwenye mitandao ya kijamii tumefanikiwa kunasa picha yake akiwa na billionaire Zari chumbani 












Posted on 6:12 AM by Unknown

No comments

https://mkito.com/song/muda-ft-walter-chillambo/3126/bwi-1-7932

Posted on 6:00 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/lixyq1iqwfeo/MALAIKA_-_MWANTUMU%5BDJMwanga.com%5D.mp3?d=1

Posted on 5:54 AM by Unknown

No comments

http://old.hulkshare.com/dl/kyaqztoficqo/KaDJA_Nito_-_SI_ULISEMA.mp3?d=1

Posted on 5:48 AM by Unknown

No comments