List ya polisi warembo zaidi kutoka katika nchi tofauti zaidi leo ikiwa ni zamu ya Nigeria.Ule msemo wa Blessed Nigeria umejihidhirisha baada ya picha za mapolisi wazuri kuliko wote kuvuja kwenye mitandao ya kijamii ya Nigeria na hizi ndizo picha zao sasa


Kama ni hivyo nafikiri Nigeria watakuwa wametisha zaidi picha zingine zinaendelea hapa chini shuka nazo.