mwanafunzi wa chuo achapwa kofia na kupofuka macho


Kabla ya January 29 mwaka huu macho ya msichana huyu yalikuwa kama kawaida ambapo aliweza hata kupiga picha na marafiki zake lakin hujafa hujambika sasa hivi ni kipofu baada ya kupata balaa kutoka katika chuo anachosoma mwanafunzi huyo. 


Siku ya Jumapili ndiyo siku iliyobadilisha maisha ya msichana huyu ambapo alichapwa kofi na Funke Fashina mwenye cheo cha secretary wa principal kutoka katika chuo anachosoma msichana huyu. Siku ya Tukio Secretary huyo alikuwachukua mabinti hao na kuwapeleka katika moja ya vyumba ambavyo havina watu ghafla akamcha kofi msicha mmoja kisha kuwamalizia wote kwa makofi

Kwa mujibu wa ripoti ya madaktari msichana huyo hatoweza kuona tena kwa jicho lake la kulia na polisi wa Nigeria wanaendelea kufuatia tukio hilo na haya ni maelezo ya msichana huyo



“On Thursday, January 29, students were having an Agriculture class, so those of us offering Food and Nutrition left the class and three of us went to stay in one of the rooms in the building.

“We saw our teacher from the window of the room so we wanted to step out to go and meet her. As we were about to leave the room, we saw the secretary to the Principal, Mrs Funke Fasina. She asked us what we were doing in that room but before we could explain, she slapped us one after the other.

“By the time I got home, my left eye had turned red and painful. I told my mother what happened but she dismissed me, saying that I would not have been slapped if I didn’t do something wrong. On Monday February 9, my mother followed me to school and the principal asked my mother to take me to the hospital.

“We went to Catholic Hospital, Eleta, Ibadan and we were told to do the scan of the eye. By then, my eye had become bulgy and I was no longer seeing clearly. We went to St. Gregory’s Ultrasound Centre, Yemetu. From there, we went to the University College Hospital, Ibadan and I was told that I would undergo surgery. We were told to bring N300,000 as deposit. My parents have reported the case at the police station in Alakia Adelubi and the woman admitted that she slapped me.”

Huyu Secretary anastahili Adhabu kwa kweli.