Chris Brown siku ya Jana alipata ugeni wa hali juu baada ya mtoto anayesemakana ni wake mwenye umri wa miezi 9 akiwa na mama yake kuja kumwona msanii huyo ambaye stori zinavuma kwama ni mtoto wa Chris Brown.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, familia hiyo ilichukuliwa na gari aina ya limo mpaka kwenye hotel ya Houston ambayo staa Chris alikuwa amefikia pamoja na wenzake, picha zinaendelea hapo chini.
0 comments:
Post a Comment