Hii hapa Nyingine kutoka kwa Msanii wa RnB anayeiwakilisha vyema Moro Town Belle 9 ngoma inaitwaSHAURI ZAO na ameifanya Studio nyingine tofauti na Tulivyomzoea, Nyimbo inaitwa Shauri zao na ameifanyia Studio ya Kiri Rec. chini ya Producer Rashdon. Ni time yako sasa kuisikiliza na kuidownload Pia!