List ya watoto nane wa Marais hapa barani Afrika ambao wansifa kwa uzuri zaidi hapa Afrika na Duniani Kote kwa sasa.
8. Bona Mugabe (Zimbabwe)
7. Thuthukile Zuma (South Africa)
6. Princess Sikhanyiso Dlamini (Swaziland)
Huyu ni Mtoto wa King Mswati wa Swaziland anayesifika kwa kuoa kila mwaka mabinti wazuri kuliko wote.
5. Ange Kagame (Rwanda)
4. Brenda Biya (Cameroon)
3. Isabel dos Santos (Angola)
2. Malika Bongo (Gabon)
1. Ngina Kenyatta (Kenya)
Kenya leo imeshikwa na mtoto wa President Kenyatta ambaye amevalishwa crown kwa hapa Afrika anaitwa Ngina Kenyatta.
0 comments:
Post a Comment