Like Shakira mwenye umri wa miaka 39 amevunja rekodi ya dunia kwa kuwa na hips kubwa ambaye jina la Mikel Ruffinelli, ukubwa wa hipsy lake ni sawa na shimo la taka la nyumbani maarufu kama jalala lenye upana wa zaidi ya futi nane na urefu wa futi tano kwa wewe unaweza kuona ni ajabu lakini yeye ana haya haya ya kusema
"I love my curves, I love my hips, I love my attributes," she says, refreshingly. "I love being unique."
Mwanamke huyo ambaye ni
raia wa marekani katika jiji la los Angeles ameonekana kuvutia watu
wengi ambapo kila mara apitapo lazima watu wageuke nyuma kumtizama licha
ya watu mpaka wenye magari nao huwalizamu kusimama na kumuangalia, hizi
ni baadhi ya picha zake nilizozipata kwenye mitandao mikubwa marekani
enjoy
0 comments:
Post a Comment