Acheni pesa iitwe pesa kwakweli unaweza kuona kama ni habari za kutunga lakin zipo na zinatokea kila siku, Kufuru walioifanya jamaa waNigeria kwa kumzika ndugu yao ndani ya Gari aina ya Hammer na kutupa na pesa juu badala ya kumzika kwenye Jeneza kama ilivyokawaida , familia hii ya kitajiri imefanya kufuru ya aina yake na haijawahi kutokea Nigeria yote toka imepata Uhuru hii ikiwa ni ripoti ya waandishi wa habari kutoka Nigeria na wazee ambao walikuwa mashuda katika msiba huo