Msanii Diamond Platnumz baada ya kunyakua tuzo kubwa Afrika za channel O sasa swala la mapenzi yake na Billionare Zari linaendelea kuchukua picha mpya kwenye mitandao ya kijamii tumefanikiwa kunasa picha yake akiwa na billionaire Zari chumbani