SOMA HAPA

Mwanamke mmoja huko Marekani amefanyiwa Operesheni na kutolewa kipande cha Ubongo wake baada ya kugundua tatizolake la kujisikia vibaya kila anaposikia wimbo wowote ulioimba na Ne-yo.