Rapper"Tyga" baada ya kulalamika kuwa uongozi wa label yake ya "Young Money" hautaki kuachia Album yake na kutishia kuondoa hatimaye ,Ametangaza tarehe rasmi yakutoka kwaAlbum yake hiyo "The Gold Album" .Tyga kupitia mtandao wake wa Twitter alitangaza kuwa Album yake itatoka siku mbili kabla ya Chrismas yani tarehe 23 December mwaka huu.
Mapema week hii uchukuaji wa video ya Tyga ulizuiliwa na Polisi wa Los Angels baada ya watu zaidi ya 1,000 kuvamia zoezi la uchukuaji wa video hiyo.