Msanii Diamond Platnumz leo amefanya interview na website ya bongo5.com na kutoa siri nyingi zilizokuwa chini ya kapeti mojawapo zikiwa swala la yeye kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Wema Sepetu  na kuwa ana uhusiano na mfanyabiashara mrembo wa Uganda, Zari the Bosslady pamoja na issue zingine. Itazame hapo chini au soma kwa kifupi baadhi ya kile alichokisema.