jaguarp-700x466


Msanii kutoka Kenya anayejulikana kwa jina la Jaguar ambaye kwa sasa inasemakana anakuja hapa kwetu Tanzania kwa ajili ya mipango ya harusi yake japo haijathibitika kama ni kweli lakin pia kwa sasa anatamba na kibao chake kipya kinachojulikana kwa jina la  “One Centimeter” ambacho amefanya na msanii kutoka nigeria anayejulikana kama Iyanya,msanii huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye list ya wasanii ambao wanalipwa bei mbaya kwa show moja nchini Kenya,wiki iliyopita katika jiji la Nairobi ameonekana na gari jipya aina Range Rover 2014 ambalo ni jipya kabisa japo kule gari hilo kwa sasa Kenya ni la kawaida kabisa hizi ni picha za gari lake 


jaguar-car1 



jaguar-car2