Victoria Kimani


Hit maker wa single ya Prokoto Victoria Kimanialimshirikisha Diamond na Ommy Dimpoz anayefanya kazi chini ya record label ya Chocolate City ya nchini kenya Kenya wiki moja iliyopita katika moja ya show zake nje ya nchini alifanya kitendo cha aibu jukwaani baada ya kuchezwa kwa Kutwerk kama ilivyozoeleka na kuwafanya watu kubaki midomo wazi..