Mtoto Eli Thompson ambaye alizaliwa March 4th katika Hospital ya Alabama akiwa hana pua. Cha ajabu na kushwangaza mtoto huyu mara baada ya kuazaliwa tu alianza kupumulia mdomo, Mama wa mtoto huyu Brandi McGlathery, alisema alijua mtoto wake amezaliwa huku kitu kikiwa hakika sawa katika mwili wa mwanae
"I pulled back and said, 'Something's wrong! And the doctor said, 'No, he's perfectly fine.' Then I shouted, 'He doesn't have a nose!'"
Kwa mujibu wa mama huyu anasema hali aliyonayo mwanae yeye anaona yuko sawa, madaktari nao wanasema halii hii huathiri karibu watu 40 kukosa viungo vyote vya mwili pindi wanapozaliwa.
0 comments:
Post a Comment