2
Pichani ni watoto mapacha wa kiume wa Dr. Mengi akiwa wanaingia sehemu iliyofanyika shughuli za ufungaji ndoa hiyo.
Dr. Mengi na Jacqueline walifunga ndoa hii mwishoni mwa mwezi uliopita kule nchini Mauritius. Harusi hii ya kifahari ilihudhuriwa na ndugu pamoja na marafiki zao ambao kwa ujumla harusi hii ilihudhuriwa na watu 50 tu.
Dr Mengi alimchumbia Jacky kama minne iliyopita kwenye birthday party ya Jacky iliyofanyika DUBAI December mwaka jana 2014
3
Pichani na bibi harusi Jacqueline Ntuyabaliwe (K-Lynn)
4
Dr. Mengi akimvisha pete ya ndoa mke wake
5 6 7
Pichani ni Mr na Mrs Mengi wakiwa kwenye picha ya pamoja na familia zote mbili.
8 9 10
Picha zote kwa niaba ya BONGO5