Acheni Mombosa iitwe jiji la maraha najua huwezi kuamini lakin ukiwa na Sh100,000 yakikenya sawa na Million 2 ya kitanzania unaweza kuenjoy kupaki meli ya kisasa kabisa inayomilikiwa na kampuni ya Marhaba Travels ambapo ndani ya kiasi hicho unaingia wew pamoja na watoto wako wawili chini hapa ni baadhi ya picha za meli hiyo 






0 comments:
Post a Comment