
Tajiri ambaye pia ni mwanasiasa kutoka Kenya ambaye ni Senator katika jiji la Nairobi Mike Sonko ambaye ni maaruf sana kwenye mitandao ya kinyamii na hata media mbali za kenya na hata nje ya Kenya sasa hivi karibuni ameingia tena headlines baada ya kuonyesha simu yake yenye thamani ya shiliki million moja ya kikenya sawa na shilingi Million 20 za kitanzania.Simu hiyo unaambiwa kwa kenya anayo yeye peke yake tu na ni mara sita ya simu mpya ya Iphone 6 plus zinazotolewa na kampuni ya Apple iliyo na matawi yake nchini kenya,simu hiyo imetengenezwa kwa material ya gold kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini



0 comments:
Post a Comment