
Msanii Wizkid Ayo kutoka Nigeria ambapo kwa sasa yupo marekani kwa zaidi ya week ya pili akiaanda album ya 2 nchini huko alionekana na Binti mrembo anayejulikana kwa jina la Tania Omotayo ambapo kwa mujibu wa msanii huyo amekiri na kusema kuwa na mpenzi wake na nimekukusanyia picha zake tatu hizi hapa,



0 comments:
Post a Comment